Makamu wa Rais Sudan Kusini, mkewe wapona kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Sudan imethibitisha kuwa Makamu wa Rais na mkewe waliokuwa na maambukizi ya COVID-19 wapona na kuruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupimwa tena.