Makamu Rais Ruto ahamasisha sera na marekebisho ya katiba

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu Rais wa Kenya William Ruto yuko Mombasa akihamasisha sera zake na msimamo wake juu ya Marekebisho ya Katiba ya Kenya.