Makamanda kutoka nchi 11 za Maziwa Makuu waanza uchunguzi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa kijeshi kutoka nchi 11 za Maziwa Makuu wakiongozwa na kamanda kutoka taifa la Kenya wametembelea kambi mbalimbali za kijeshi kuchunguza sababu zinazopelekea waasi kushambulia jeshi.