Makala ya Afya : Tanzania yafanikiwa kupandikiza figo
Your browser doesn’t support HTML5
Madaktari bingo nchini Tanzania wamefanikiwa kupandikiza figo, ikiwa ni hatua muhimu ya nchi hiyo kufikia lengo la kuwa na madaktari bingwa wa Kitanzania.