DUNIANI LEO : Aprili 30 : Makala Maalum Sehemu ya Pili : COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika inakuletea makala maalum sehemu ya pili ikiangalia hali ilivyo, mwaka moja baadae, baada ya kuzuka kwa mlipuko wa virusi vya Corona, China na kuenea duniani kote kwa haraka.