Repoti Maalum (2) : Wakazi wa Mombasa wakiri hali ya utulivu imerejea

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Mombasa wakiri sehemu ambazo zilikuwa kitovu cha mgogoro wa ukosefu wa usalama kutokana na vitendo vya ugaidi kwa mfano eneo la Majengo, katika mji wa Mambasa zimeanza kurejea hali yake ya kawaida.