Majimbo matatu Marekani yatoa amri ya kiutendaji ya karantini
Your browser doesn’t support HTML5
Magavana wa majimbo matatu Marekani wamewataka wasafiri kutoka majimbo nane kujiweka karantini wanapowasili katika miji hiyo kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19 kutoka katika maeneo wanapotokea.