Majimbo 19 yakabiliwa na ongezeko la COVID-19 Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Jimbo la Arizona ni moja ya majimbo 19 yenye maambukizi mapya ya virusi vya corona nchini Marekani na tayari inaongeza mipango ya dharura kukabiliana na COVID-19.