Majeshi ya Serikali ya DRC yanaendelea kukabiliana na mashambulizi ya waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano makali bado yanaendelea kati ya serikali na waasi wa M23 huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mapigano hayo yameingia siku ya pili katika wilaya ya Masisi.

Ungana na mwendishi wetu huko DRC akikuletea ripoti kamili ya hali ilivyo katika eneo hilo la vita na vipi wananchi wanakabiliana na hatari mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mahitaji muhimu. Endelea kumsikiliza...