Majeshi ya Russia na Belarus yako mpakani mwa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Russia imepeleka wanajeshi laki moja katika mpaka wa Ukraine ambako inafanya mazoezi ya kivita ya pamoja na majeshi ya Belarus huku Russia ikisistiza haina azma ya kufanya uvamizi.