Majaji waliofanya tathmini ya shutuma dhidi ya Ramaphosa wawakilisha mapendekezo

Your browser doesn’t support HTML5

Jopo la majaji watatu lililoundwa kuchunguza iwapo kunaulazima wa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa afunguliwe mashtaka ya kuondolewa madarakani baada ya mamilioni ya dola zilizofichwa katika shamba lake binafsi ambazo zimeripotiwa zilitokana na wizi limewakilisha mapendekezo yake Jumatano.

Sikiliza mwandishi wetu akifafanua juu ya uchunguzi huo na nini analoeleza rais. Endelea kusikiliza...