Majaji Maarufu wawasili Kenya kufuatilia kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais

Your browser doesn’t support HTML5

Jopo la Majaji Maarufu wa Afrika limewasili nchini Kenya kufuatilia kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais  Kenya 2022, ambapo kongamano linafanyika kabla ya kesi kuanza kusikilizwa Jumanne.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.