Visa vya Boko Haram sehemu ya kwanza

Your browser doesn’t support HTML5

Magaidi wa kundi la Boko Haram wameharibu sana maisha ya watu wengi nchini Nigeria huku wakiendelea kufanya unyama na mambo yasiyo ya kibinadamu kwa wananchi wengi katika sehemu mbali mbali za Nigeria.