MAISHA NA AFYA EP 87: Wasiwasi wakati wanafunzi wakirudi mashuleni
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya mashule kufunguliwa kote duniani na wanafunzi kuanza kurudi madarasani baada ya muda mrefu wa kusomea nyumbani, wasiwasi ni mwingi wakati ambapo maambukizi ya Covid 19 yanaongezeka ulimwenguni.