Maisha na Afya Ep. 86: Utafiti mpya unaonyesha chanjo ya Malaria inafanya kazi kwa asilimia 100.

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Maisha na Afya :Tunaangalia utafiti mpya unaonyesha chanjo ya Malaria inafanya kazi kwa asilimia 100,tutaelekea Malawi kuona namna Kijiji kimoja kilivyomaliza tatizo la Malaria na tunapofikia umri wa uzee, ni mambo gani tunatakiwa kufanya ili kulinda afya zetu?