Maisha na Afya : EP 77 : Watu takriban milioni 3 wanakufa kutokana na pombe

Your browser doesn’t support HTML5

Watu takriban milioni 3 wanakufa kila mwaka duniani kutokana na unywaji pombe kupita kiasi na baadhi ya wale walioathiriwa wakieleza madhara yake.