Tatizo la kurejea ugonjwa wa malaria barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Maisha na Afya tunaangalia namna tatizo la ugonjwa wa Malaria linavyoanza kurudi haswa nchini Nigeria ambako maafisa wanaripoti kuhusu ugonjwa huo.