Kuchoshwa na msongo wa mawazo kwa wahudumu wa afya

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii Maisha na Afya inaangazia namna wauguzi walivyoathirika na kuchoka kutokana na kuhudumia wagonjwa wengi kipindi cha janga la Corona.