Maimai wasalimisha silaha na kufikia makubaliano na serikali ya DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Wapiganaji wa Maimai Malaika walioanzisha kikundi chao Salamavila ili kulinda madini yao yanayo chimbwa na kampuni za madini katika maeneo yao wamesalimisha silaha zao kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na pande zote kufikia makubaliano.