Mahojiano Maalum na mwanamuziki Ericka Lulakwa wa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Burudani tunamuangalia mwanamuziki Ericka Lulakwa mwenye asili ya kitanzania na mkazi wa San Francisco California. Hivi karibuni Ericka ameangusha wimbo wake mpya kwa jina chereko.