Mahojiano Maalum na Katibu Mkuu wa EAC kuhusu changamoto za Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Ungana na mwandishi wetu akiwa na Katibu Mkuu wa jumuiya ya Afrika Mashariki Peter Mathuki kujadili kwa upana changamoto zinazozikabili nchi za Afrika Mashariki na yale yaliyojitokeza katika kikao cha 77 cha mkutano wa UNGA.