Mahakama yasema mchakato wa BBI siyo halali

Your browser doesn’t support HTML5

Mchakato wa kufanyia marekebisho Katiba ya Kenya maarufu kama BBI umepata pigo baada ya mahakama kuukataa.