Mahakama ya Juu Kenya yaidhinisha ushindi wa William Ruto kuwa Rais wa tano

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya Juu nchini Kenya imefikia uamuzi katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu kuwa William Ruto ndiye Rais mteule wa Kenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari