Mahakama ya Afrika Mashariki haiwezi kusikiliza kesi ya Mungano wa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya sheria ya afrika Mashariki Imeamua Jumatano tarihe 30 Septemba kwamba haina mamlaka ya kusikiliza mashtaka yaliyowasilishwa na wa Zanzibari elfu 40 kuhoji halali wa mungano.
Mwakilishi wa kundi la wa Zanzibari hao, Rashid Salum Adiy amesema wameridhika na uwamuzi kwani unawapatia njia ya kufikisha malalamiko yao mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.