Magufuli asisitiza ajenda yake ya kusimamia maslahi ya nchi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Magufuli akiwa katika kampeni mjini Singida ameeleza nia yake ya kuendelea kusimamia maslahi ya nchi akichaguliwa 2020.