Rais ‪Magufuli‬ akitengua uteuzi mkuu wa mkoa wa Shinyanga

Your browser doesn’t support HTML5

Rais ‪Magufuli‬ akitengua uteuzi mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela, kwa sababu ya kuwepo kwa wafanyakazi hewa.