Magufuli aagwa na viongozi wa serikali na wananchi Chato
Your browser doesn’t support HTML5
Shughuli ya kuuaga mwili wa hayati John Pombe Magufuli yafanyika katika uwanja wa mira wa Magufuli, wilaya ya Chato, Mkoani Geita, huku Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hermed Suleiman Abdullah akisisitiza taifa kushikamana.