Mfumuko wa bei waleta kero kwa wafanyabiashara Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara ya migahawa nchini Tanzania waeleza jinsi mfumuko wa bei ya mafuta ya kula ilivyo waathiri wakieleza zimetokana na kupanda kwa bei ya petroli na unga wa ngano.