Mafuriko yasababisha watu kupoteza makazi yao Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Mafuriko yaendelea nchini Kenya wakati mvua zikiendelea kunyesha huku maelfu wakilazimika kuyahama makazi yao wakihitaji msaada wa serikali..