Baadhi ya watu waliokwama ambao walishindwa kutoka katika nyumba zao kwenye miji ya Sharjah na Fujairah waliokolewa na askari wa ulinzi wa raia. Fujairah iliathiriwa vibaya kutokana na hali yake ya asili ya milima na miinuko.
Mafuriko yaikumba baadhi ya miji ya UAE
Your browser doesn’t support HTML5
Mafuriko yamepiga maeneo ya Umoja wa Falme za Kiarabu wakati nchi ikikumbwa na mvua kubwa.