Mafuriko ya Ziwa Tanganyika yasababisha wakazi wa Uvira kupoteza makazi

Your browser doesn’t support HTML5

Mkazi wa Uvira aeleza namna mafuriko yalivyo muathiri yeye na familia yake huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, jirani na mji wa Bujumbura.