Mafuriko na maporomoko yaua watu 27 Uturuki.

Your browser doesn’t support HTML5

Waokoaji wanaoendelea na zoezi la kuwatafuta manusura wamethibitisha kuwa wahanga wa mafuriko na maporomoko ya matope nchini Uturuki wamefikia 27.