Maelfu washindwa kupata makazi kambi ya wakimbizi

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya watu wanaotafuta hifadhi ya ukimbizi wasalia kando kando ya barabara nchini Ugiriki baada ya kambi kuungua kwa moto.