Madhila wanayokumbana nayo wakimbizi wanaojaribu kurejea katika kambi ya Daadab
Your browser doesn’t support HTML5
Mmoja wa wakimbizi wanaorejea ambao hawajasajiliwa akabiliwa na kikwazo cha kuzuiliwa kuingia katika programu ya msaada, katika kambi ya Daadab. Ungana na mwandishi wetu huko Kenya akielezea sababu zilizopelekea kutotambuliwa na serikali.