Madereva wa malori hatarini, waathiriwa na maambukizi ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Madereva wa malori Afrika Mashariki waelezea hali ya kunyanyapaliwa wanapoingia katika nchi za jirani kwa tuhuma za kubeba virusi vya corona.