Madaktari waandamana nje ya ukumbi wa bunge Korea Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari nchini Korea Kusini waandamana kupinga mipango ya serikali kuongeza idadi ya madaktari wanafunzi wakidai tayari kuna madaktari wa kutosha.