Madaktari Ukraine wajitolea kuokao maisha ya wengi Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Makala ya Afya: Juhudi zinazo chukuliwa na madaktari wa Ukraine kuokoa watu wakati wa vita, wakati tangu kuanza kwa uvamizi wa Russia Ukraine watoto takriban 129 wamepoteza maisha.