Madaktari Nigeria wagomo wakidai malipo na vitendeakazi

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari katika hospitali za serikali nchini Nigeria wameanza mgomo wakilalamika juu ya kutolipwa mishahara yao na ukosefu wa vifaa vya kujikinga na kutendea kazi.