Madaktari nchini Kenya watangaza kumaliza mgomo

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari Kenya wafikia makubaliano na magavana na serikali kuu na watangaza kumaliza mgomo.
-Watu kadhaa wauawa nchini Ethiopia kufuatia mashambulizi ya makundi ya wapiganaji

- Hatimaye Uingereza yafikia makubaliano na Umoja wa Ulaya kujitoa katika jumuiya hiyo.