Madagascar yakabiliwa na janga la ukosefu wa Chakula
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa laeleza hatari ya ukosefu wa Chakula inayowakabili watu laki tatu Madagascar kutokana na ukame.