Macron asema kuuawa kiongozi wa IS Sahara ushindi mkubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameandika katika mtandao wa Twitter na kuelezea kifo cha kiongozi wa Islamic State Adnan Abu Walid al-Sahrawi kama mafanikio makubwa katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi kwenye eneo la Sahel.