El Clasico : Real Madrid kupambana Jumamosi na Barcelona

Your browser doesn’t support HTML5

Mabingwa wa Ligi Uhispania Laliga, Real Madrid wako tayari kupambana na mahasimu wao wakubwa katika ligi hiyo Barcelona katika mchezo El Clasico unaosubiriwa kwa hamu Jumamosi