Mabadiliko ya hali ya heba

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa mujib ya ripoti ya Umoja Mataifa ya IPCC, inaeleza kamba katika kipindi cha miaka 12 athari kwenye sayari yetu zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa zitakuwa zimefikia kiwango ambacho hakitawezakana kurudishwa nyuma.