Mabadiliko ya hali ya hewa yabadilisha mwambao wa dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Mabadiliko ya hali ya hewa yanabadilisha mwambao wa dunia kila siku, huku athari zake zikipelekea mimea na wanyama ambao hawawezi kuishi katika joto ikihamia sehemu zenye baridi. Hii ni sehemu ya kwanza ya Makala Maalum ...