Mabadiliko ya hali ya hewa yaathiri maeneo ya kumbukumbu Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mabadiliko ya hali ya hewa duniani yameathiri sehemu nyingi ikiwemo sehemu za vituo vya kumbukumbu za kitaifa kama Nyumba Kubwa ya Mtumwa, magofu ya msikiti na Ngome ya Fort Jesus Mombasa iliyojengwa zaidi ya miaka 400.