WASHINGTON BUREAU : Maandishi na michoro yaendeleza kampeni dhidi ya ubaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Maandishi na michoro iliyotumika kupaza sauti juu ya umuhimu wa maisha ya mtu mweusi maarufu kama "Black Lives Matter" yatumika Seattle, Marekani kufunika mbao zilizo tumika kulinda maduka wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi.