Maandamano yafanyika London, Berlin na Toronto kupinga utawala wa kiimla wa Iran

Your browser doesn’t support HTML5

Kutoka London hadi Berlin na mpaka Toronto maandamano yanaendelea dhidi ya serikali ya kiimla ya Jamhuri ya Watu wa Iran na wakilaani kifo cha msichana aliyekuwa chini ya ulinzi wa polisi wa maadili wa Iran baada ya kukamatwa.

Kijana Mahsa Amini mwenye umri wa miaka 22 polisi wanadai alikuwa na mgogoro wa kiafya tangu awali lakini familia yake inasema kuna mchezo mchafu umepita. Endelea kusikiliza...