Maandamano yaendelea DRC kushinikiza MONUSCO iondoke

Your browser doesn’t support HTML5

Maandamano yaendelea Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wananchi wakishinikiza Tume ya Kulinda Amani ya UN, Monusco waondoke nchini kwa madai ya kuwa wameshindwa kuwalinda wananchi wasiuawe.