Maandamano Marekani : Obama awahimiza vijana kutokata tamaa

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia maandamano nchi nzima kulaani kifo cha George Floyd, Obama amewataka vijana wanaojitolea kuleta mabadiliko ya mfumo kandamizi nchini Marekani kutokata tamaa katika kupigania haki zao.