Maandamano DRC ya kupinga ushiriki wa Rwanda yaleta maafa
Your browser doesn’t support HTML5
Watu wawili wamepoteza maisha wakati wa maandamano ya kupinga makubaliano kati ya DRC na Rwanda katika hatua ya kuwaunganisha na muungano wa polisi kutoka mataifa 14.